Prayers Camp
Kempu ya maombi ni kempu ya maombi maalum kwa kipindi maalu kwa sababu maalum. Tutakua na kempu hii karibuni ili kufunga na kuombea nchi yetu (Tanzania) kwa kipindi hiki tunapokwenda kufanya uchaguzi wa Urais, Ubunge na Udiwani nchi nzima.
Tutafanya maombi ya kufunga kwa siku saba mfululizo ndani kempu hii ambayo tutawajulisha mahali iatakapofanyikia pindi tutakapo ongozwa na Roho Mtakatifu.
Wote mnakaribishwa na Mungu awabariki sana.
God is good,all time and that is dont miss
ReplyDeleteThanks for sure we won't miss
DeleteGlory to God
ReplyDelete